|
Les Wanyika - Sina Makosa lyrics
hasira za nini wee bwana hasira za nini wee bwana wataka kuniua bure baba wataka kuniua bure baba yule si wako nami si wangu chuki ya nini kati yangu mimi na wewe chuki ya nini kati yangu mimi na wewe hasira za nini wee bwana hasira za nini wee bwana wataka kuniua bure baba wataka kuniua bure baba kwako hayuko kwangu hayuko chuki ya nini kati yangu mimi na wewe chuki ya nini kati yangu mimi na wewe hasira za nini wee bwana hasira za nini wee bwana wataka kuniua bure baba wataka kuniua bure baba wewe una wako nyumbani nami nina wangu nyumbani chuki ya nini kati yangu mimi na wewe chuki ya nini kati yangu mimi na wewe nasema sina makosa wee bwana sina makosa wee bwana sina makosa wee bwana sina makosa wee bwana |
|
Last added lyrics |
---|
All the Way by Calloway |
Big Dog Daddy by Toby Keith |
Insomniac by Enrique Iglesias |
Icky Thump by The White Stripes |
Twenty Four Seven by Tina Turner |