|
Les Wanyika - Paulina lyrics
Paulina mamaaaaaaaa Shemeji naleta mashtaka ....eeee. sielewi lengo la nduguyoooooooo.. vibaya sana ooooooooo! Naona imani yake oooooo.. Ni ndogo kwangu mamaaaaaa... Paulina mamaaaaaaaa Shemeji naleta mashtaka....eeee. Sielewi lengo la nduguyoooooooo.. Vibaya sana ooooooooo! Naona imani yake oooooo.. Ni ndogo kwangu mamaaaaaa... Paulina mamaaaaaaaa Shemeji naleta mashtaka....eee. Sielewi lengo la nduguyoooooooo.. Vibaya sana ooooooooo! Naona imani yake oooooo.. Ni ndogo kwangu mamaaaaaa... Ikiwa ndugu yako hanitaki mamaaaa.. Naomba picha yake Oooooooh!Saila Ingawa ndugu yako hanitaki mamaaaa.. Naomba picha yake Oooooooh! saila. |
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
| Last added lyrics |
|---|
|
Fornika by Die Fantastischen Vier |
The Dangermen Sessions, Vol. 1 by Madness |
Loyal to the Game by 2Pac |
Memory Almost Full by Paul McCartney |
Years Later by Soulja Slim |